Zaburi 78:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Lakini walimdanganya kwa vinywa vyao, Wakamwambia uongo kwa ndimi zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Lakini walimdanganya kwa maneno yao; kila walichomwambia kilikuwa uongo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Lakini walimdanganya kwa maneno yao; kila walichomwambia kilikuwa uongo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Lakini walimdanganya kwa maneno yao; kila walichomwambia kilikuwa uongo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Lakini walimdanganya kwa vinywa vyao, wakisema uongo kwa ndimi zao, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Lakini walimdanganya kwa vinywa vyao, wakisema uongo kwa ndimi zao, Tazama sura |