Zaburi 78:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Akawanyeshea nyama kama mavumbi, Na ndege wenye mbawa, Kama mchanga wa bahari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 akawanyeshea watu wake nyama kama vumbi, ndege wengi kama mchanga wa pwani; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 akawanyeshea watu wake nyama kama vumbi, ndege wengi kama mchanga wa pwani; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 akawanyeshea watu wake nyama kama vumbi, ndege wengi kama mchanga wa pwani; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Aliwanyeshea nyama kama mavumbi, ndege warukao kama mchanga wa pwani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Aliwanyeshea nyama kama mavumbi, ndege warukao kama mchanga wa pwani. Tazama sura |