Zaburi 78:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Aliuelekeza upepo wa mashariki kuvuma toka mbinguni; Na kwa uweza wake akauongoza upepo wa kusini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Alivumisha upepo wa mashariki, kwa nguvu yake akachochea pepo za kusini; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Alivumisha upepo wa mashariki, kwa nguvu yake akachochea pepo za kusini; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Alivumisha upepo wa mashariki, kwa nguvu yake akachochea pepo za kusini; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Aliachia upepo wa mashariki kutoka mbingu na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Aliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake. Tazama sura |