Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 78:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 Mwanadamu akala chakula walacho malaika; Akawapelekea chakula cha kuwashibisha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Binadamu, wakala chakula cha malaika; naye aliwapelekea chakula cha kutosha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Binadamu, wakala chakula cha malaika; naye aliwapelekea chakula cha kutosha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Binadamu, wakala chakula cha malaika; naye aliwapelekea chakula cha kutosha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Watu walikula mkate wa malaika, akawatumia chakula chote ambacho wangeweza kula.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Watu walikula mkate wa malaika, akawatumia chakula chote ambacho wangeliweza kula.

Tazama sura Nakili




Zaburi 78:25
5 Marejeleo ya Msalaba  

Mhimidini BWANA, enyi malaika zake, Ninyi mlio hodari, mtendao neno lake, Mkiisikiliza sauti ya neno lake.


Walimwomba naye akaleta kware, Na kuwashibisha chakula cha mbinguni.


Musa akasema, Ndilo litakalokuwa, hapo BWANA atakapowapa nyama wakati wa jioni mle, na asubuhi mikate hata mkakinai; kwa kuwa BWANA asikia manung'uniko yenu mliyomnung'unikia yeye; na sisi tu nani? Manung'uniko yenu hayakuwa juu yetu sisi, ila juu ya BWANA.


Wakala wote wakashiba; wakayaokota mabaki ya vipande vya mikate, vikapu kumi na viwili, vimejaa.


Wakala wote wakashiba; wakayaokota mabaki ya vipande vya mikate makanda saba, yamejaa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo