Zaburi 78:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Hivyo BWANA aliposikia akaghadhibika; Moto ukawashwa juu ya Yakobo, Hasira nayo ikapanda juu ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Mwenyezi-Mungu, aliposikia hayo, alijawa na ghadhabu, moto ukawawakia wazawa wa Yakobo; hasira yake ikawavamia watu wa Israeli, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Mwenyezi-Mungu, aliposikia hayo, alijawa na ghadhabu, moto ukawawakia wazawa wa Yakobo; hasira yake ikawavamia watu wa Israeli, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Mwenyezi-Mungu, aliposikia hayo, alijawa na ghadhabu, moto ukawawakia wazawa wa Yakobo; hasira yake ikawavamia watu wa Israeli, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Mwenyezi Mungu alipowasikia, alikasirika sana, moto wake ukawa dhidi ya Yakobo, na ghadhabu yake ikawaka dhidi ya Israeli, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 bwana alipowasikia, alikasirika sana, moto wake ukawa dhidi ya Yakobo, na ghadhabu yake ikawaka dhidi ya Israeli, Tazama sura |