Zaburi 78:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Tazama, aliupiga mwamba; Maji yakabubujika, ikafurika mito. Pia aweza kutupa chakula? Atawaandalia watu wake nyama? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Ni kweli, aliupiga mwamba, maji yakabubujika kama mto; lakini, sasa aweza kweli kutupatia mkate, na kuwapatia watu wake nyama?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Ni kweli, aliupiga mwamba, maji yakabubujika kama mto; lakini, sasa aweza kweli kutupatia mkate, na kuwapatia watu wake nyama?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Ni kweli, aliupiga mwamba, maji yakabubujika kama mto; lakini, sasa aweza kweli kutupatia mkate, na kuwapatia watu wake nyama?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Alipopiga mwamba, maji yalitoka kwa nguvu, vijito vikatiririka maji mengi. Lakini je, aweza kutupatia chakula pia? Je, anaweza kuwapatia watu wake nyama?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Alipopiga mwamba, maji yalitoka kwa nguvu, vijito vikatiririka maji mengi. Lakini je, aweza kutupa chakula pia? Je, anaweza kuwapa watu wake nyama?” Tazama sura |