Zaburi 78:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Wakayasahau matendo yake, Na mambo yake ya ajabu aliyowaonesha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Walisahau mambo aliyokuwa ametenda, miujiza aliyokuwa amewaonesha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Walisahau mambo aliyokuwa ametenda, miujiza aliyokuwa amewaonesha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Walisahau mambo aliyokuwa ametenda, miujiza aliyokuwa amewaonesha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Walisahau aliyokuwa ameyatenda, maajabu aliyokuwa amewaonesha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Walisahau aliyokuwa ameyatenda, maajabu aliyokuwa amewaonyesha. Tazama sura |