Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 77:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Nitayakumbuka matendo ya BWANA; Naam, nitayakumbuka maajabu yako ya kale.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Nitayakumbuka matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu, naam, nitayafikiria maajabu yako ya hapo kale.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Nitayakumbuka matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu, naam, nitayafikiria maajabu yako ya hapo kale.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Nitayakumbuka matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu, naam, nitayafikiria maajabu yako ya hapo kale.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Nitayakumbuka matendo ya Mwenyezi Mungu; naam, nitaikumbuka miujiza yako ya zamani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Nitayakumbuka matendo ya bwana; naam, nitaikumbuka miujiza yako ya zamani.

Tazama sura Nakili




Zaburi 77:11
10 Marejeleo ya Msalaba  

Isaka akatoka ili kutafakari shambani wakati wa jioni; akainua macho yake, akaona, kuna ngamia wanakuja.


Yakumbukeni matendo yake yote ya ajabu aliyoyafanya; Miujiza yake na hukumu za kinywa chake;


Yakumbukeni matendo yake ya ajabu aliyoyafanya, Miujiza yake na hukumu alizotoa.


Amefanya ukumbusho wa matendo yake ya ajabu; BWANA ni mwenye fadhili na rehema.


Nimezikumbuka siku za kale, Nimeyatafakari matendo yako yote, Naziwaza kazi za mikono yako.


Maana hawazifahamu kazi za BWANA, Wala matendo ya mikono yake, Atawavunja wala hatawajenga tena;


Nikasema, Ndio udhaifu wangu huo; Lakini nitaikumbuka miaka ya mkono wa kulia wake Aliye Juu.


Wakayasahau matendo yake, Na mambo yake ya ajabu aliyowaonesha.


Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe? Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu, Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?


Na kinubi, na zeze, na matari, na filimbi, na mvinyo, zote ziko katika karamu zao; lakini hawaiangalii kazi ya BWANA wala kuyafikiri matendo ya mikono yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo