Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 76:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Wekeni nadhiri na mziondoe Kwa BWANA, Mungu wenu. Wote wanaomzunguka wamletee hedaya, Yeye astahiliye kuogopwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Mtimizieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu ahadi zenu; enyi mlio karibu mpeni zawadi Mungu wa kutisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Mtimizieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu ahadi zenu; enyi mlio karibu mpeni zawadi Mungu wa kutisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Mtimizieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu ahadi zenu; enyi mlio karibu mpeni zawadi Mungu wa kutisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Wekeni nadhiri kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, na kuzitimiza; nchi zote za jirani na walete zawadi kwa Yule astahiliye kuogopwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Wekeni nadhiri kwa bwana Mwenyezi Mungu wenu na kuzitimiza; nchi zote za jirani na walete zawadi kwa Yule astahiliye kuogopwa.

Tazama sura Nakili




Zaburi 76:11
9 Marejeleo ya Msalaba  

Kama Mungu wa baba yangu, Mungu wa Abrahamu na Hofu ya Isaka, hangalikuwa pamoja nami, hakika sasa ungalinifukuza mikono mitupu. Mateso yangu na kazi za mikono yangu Mungu ameziona, akakukemea usiku huu.


Nimeapa nami nikathibitisha, Kuzishika hukumu zako za haki.


Mtolee Mungu dhabihu za kushukuru; Mtimizie Aliye Juu nadhiri zako.


Kwa ajili ya hekalu lako Yerusalemu Wafalme watakuletea hedaya.


Mungu huogopwa sana barazani pa watakatifu, Ni wa kuhofiwa kuliko wote wanaomzunguka.


Mtu atakapomwekea BWANA nadhiri, au, atakapoapa kiapo ili kufunga nafsi yake kwa ahadi, asilitangue neno lake; atafanya sawasawa na hayo yote yamtokayo kinywani mwake.


Mara tatu kwa mwaka na watokee wana wa kiume wako wote mbele za BWANA, Mungu wako, mahali atakapochagua; katika sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, na katika sikukuu ya majuma, na katika sikukuu ya vibanda; wala wasitokee mbele za BWANA mikono mitupu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo