Zaburi 75:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Bali mimi nitatangaza matendo yako milele, Nitamwimbia Mungu wa Yakobo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Lakini mimi nitafurahi milele, nitamwimbia sifa Mungu wa Yakobo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Lakini mimi nitafurahi milele, nitamwimbia sifa Mungu wa Yakobo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Lakini mimi nitafurahi milele, nitamwimbia sifa Mungu wa Yakobo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Bali mimi, nitatangaza hili milele; nitaimba sifa kwa Mungu wa Yakobo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Bali mimi, nitatangaza hili milele; nitaimba sifa kwa Mungu wa Yakobo. Tazama sura |