Zaburi 75:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Maana siko mashariki wala magharibi, Wala nyikani itokako heshima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Hukumu haitoki mashariki au magharibi; wala haitoki nyikani au mlimani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Hukumu haitoki mashariki au magharibi; wala haitoki nyikani au mlimani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Hukumu haitoki mashariki au magharibi; wala haitoki nyikani au mlimani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Hakuna yeyote atokaye mashariki wala magharibi au kutoka jangwani awezaye kumkweza mwanadamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Hakuna yeyote atokaye mashariki wala magharibi au kutoka jangwani awezaye kumkweza mwanadamu. Tazama sura |