Zaburi 74:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Upite na kupaona palipoharibika milele; Adui ameufanya kila ubaya katika patakatifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Pita juu ya magofu haya ya kudumu! Adui wameharibu kila kitu hekaluni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Pita juu ya magofu haya ya kudumu! Adui wameharibu kila kitu hekaluni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Pita juu ya magofu haya ya kudumu! Adui wameharibu kila kitu hekaluni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Geuza hatua zako kuelekea magofu haya ya kudumu, uharibifu wote huu ambao adui ameuleta pale patakatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Geuza hatua zako kuelekea magofu haya ya kudumu, uharibifu wote huu ambao adui ameuleta pale patakatifu. Tazama sura |
Kisha ikawa hapo walipomletea Yoshua hao wafalme watano hapo nje, Yoshua akawaita wanaume wote wa Israeli, akawaambia majemadari wa watu wa vita waliokwenda naye, Haya, jongeeni karibu, mweke nyayo za miguu yenu katika shingo za wafalme hawa. Nao wakajongea karibu, wakatia nyayo zao katika shingo zao.