Zaburi 73:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Wameweka kinywa chao mbinguni, Na ulimi wao hutangatanga duniani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kwa vinywa vyao hutukana mbingu; kwa ndimi zao hujitapa duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kwa vinywa vyao hutukana mbingu; kwa ndimi zao hujitapa duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kwa vinywa vyao hutukana mbingu; kwa ndimi zao hujitapa duniani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Vinywa vyao huweka madai hata kwa mbingu, nazo ndimi zao humiliki duniani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Vinywa vyao huweka madai hata kwa mbingu, nazo ndimi zao humiliki duniani. Tazama sura |
Basi sasa, kama mkiwa tayari wakati mtakapoisikia sauti ya panda, na filimbi, na kinubi, na zeze, na santuri, na zumari, na namna zote za ngoma, kuanguka na kuisujudia sanamu niliyoisimamisha, ni vema; bali msipoisujudia, mtatupwa saa iyo hiyo katika tanuri liwakalo moto; naye ni nani Mungu yule atakayewaokoa ninyi mikononi mwangu?