Zaburi 73:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Ni nani niliye naye mbinguni, Wala duniani sina cha kupendeza ila Wewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Mbinguni, nani awezaye kunisaidia ila wewe? Na duniani hamna ninachotamani ila wewe! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Mbinguni, nani awezaye kunisaidia ila wewe? Na duniani hamna ninachotamani ila wewe! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Mbinguni, nani awezaye kunisaidia ila wewe? Na duniani hamna ninachotamani ila wewe! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Nani niliye naye mbinguni ila wewe? Dunia haina chochote ninachokitamani ila wewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Nani niliye naye mbinguni ila wewe? Dunia haina chochote ninachokitamani ila wewe. Tazama sura |