Zaburi 73:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Kama ningalisema, Nitasimulia kama hayo; Kumbe! Ningaliwadanganya kizazi cha wana wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Kama ningalisema hayo kama wao, ningalikuwa mhaini miongoni mwa watu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Kama ningalisema hayo kama wao, ningalikuwa mhaini miongoni mwa watu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Kama ningalisema hayo kama wao, ningalikuwa mhaini miongoni mwa watu wako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Kama ningesema, “Nitasema hivi,” ningekuwa nimewasaliti watoto wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Kama ningesema, “Nitasema hivi,” ningelikuwa nimewasaliti watoto wako. Tazama sura |