Zaburi 73:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Kwa hiyo watu wake hugeuka huko, Na maji yaliyojaa humezwa nao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Hata watu wa Mungu wanawafuata, hawaoni kwao chochote kibaya na kusadiki kila wanachosema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Hata watu wa Mungu wanawafuata, hawaoni kwao chochote kibaya na kusadiki kila wanachosema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Hata watu wa Mungu wanawafuata, hawaoni kwao chochote kibaya na kusadiki kila wanachosema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kwa hiyo watu wao huwageukia na kunywa maji tele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kwa hiyo watu wao huwageukia na kunywa maji tele. Tazama sura |