Zaburi 72:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Wakaao jangwani na wainame mbele zake; Adui zake na warambe mavumbi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Maadui zake wakaao nyikani wanyenyekee mbele yake, washindani wake walambe vumbi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Maadui zake wakaao nyikani wanyenyekee mbele yake, washindani wake walambe vumbi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Maadui zake wakaao nyikani wanyenyekee mbele yake, washindani wake walambe vumbi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Makabila ya jangwani watamsujudia, na adui zake wataramba mavumbi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Makabila ya jangwani watamsujudia, na adui zake wataramba mavumbi. Tazama sura |