Zaburi 71:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Ee Mungu, usiwe mbali nami; Ee Mungu wangu, fanya haraka kunisaidia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Usikae mbali nami, ee Mungu; uje haraka kunisaidia, ee Mungu wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Usikae mbali nami, ee Mungu; uje haraka kunisaidia, ee Mungu wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Usikae mbali nami, ee Mungu; uje haraka kunisaidia, ee Mungu wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Ee Mungu, usiwe mbali nami, njoo haraka kunisaidia, Ee Mungu wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Ee Mungu, usiwe mbali nami, njoo haraka kunisaidia, Ee Mungu wangu. Tazama sura |