Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 71:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Kwa maana adui zangu wananiamba, Nao wanaotaka kuniua hushauriana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Maana maadui zangu wanasema vibaya juu yangu; wanaovizia uhai wangu wanafanya mipango,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Maana maadui zangu wanasema vibaya juu yangu; wanaovizia uhai wangu wanafanya mipango,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Maana maadui zangu wanasema vibaya juu yangu; wanaovizia uhai wangu wanafanya mipango,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Kwa maana adui zangu wananisengenya, wale wanaotaka kuniua wanapanga njama.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Kwa maana adui zangu wananisengenya, wale wanaonivizia kuniua wafanya hila.

Tazama sura Nakili




Zaburi 71:10
13 Marejeleo ya Msalaba  

Huotea faraghani kama simba pangoni, Huotea amkamate mtu mnyonge. Naam, humkamata mtu mnyonge, Na kumkokota akiwa wavuni mwake.


Ndiyo malipo ya washitaki wangu toka kwa BWANA, Na ya hao wanaoisingizia nafsi yangu mabaya.


Wafalme wa dunia wanajipanga, Na wakuu wanafanya shauri pamoja, Juu ya BWANA, Na juu ya masihi wake,


Maana nimesikia wengi wakinong'onezana; Hofu katika pande zote. Waliposhauriana juu yangu, Walipanga kunitoa uhai wangu.


Hukutanika, hujificha, huziangalia nyayo zangu, Kwa kuwa waliniotea ili waniue.


Juu ya watu wako wanafanya hila, Na kushauriana juu yao uliowaficha.


Wakisema, Haya! Njoo pamoja nasi, Na tuvizie ili kumwaga damu; Tumwotee asiye na hatia, bila sababu;


Maana nimesikia shutuma za watu wengi; hofu ziko pande zote. Rafiki zangu wote, wanaonivizia nisite, husema, Mshitaki, nasi tutamshitaki, huenda akahadaika, nasi tutamshinda, tutajilipiza kisasi kwake.


Na ilipokuwa asubuhi, wakuu wa makuhani wote na wazee wa watu wakafanya shauri juu ya Yesu, wapate kumwua;


Kisha Sauli akatuma wajumbe mpaka nyumbani kwa Daudi, ili wamvizie na kumwua asubuhi; naye Mikali, mkewe Daudi, akamwambia, akasema, Wewe usipojiponya nafsi yako usiku huu, kesho utauawa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo