Zaburi 70:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Ee Mungu, uniokoe, Ee BWANA, unisaidie hima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Upende kuniokoa ee Mungu! Ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Upende kuniokoa ee Mungu! Ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Upende kuniokoa ee Mungu! Ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ee Mungu, ufanye haraka kuniokoa; Ee Mwenyezi Mungu, njoo hima unisaidie. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ee Mungu, ufanye haraka kuniokoa; Ee bwana, njoo hima unisaidie. Tazama sura |