Zaburi 7:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 BWANA atawaamua mataifa, BWANA, unihukumu mimi, Kwa kadiri ya haki yangu, Kulingana na unyofu nilio nao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wayahukumu mataifa; unihukumu kadiri ya uadilifu wangu, kulingana na huo unyofu wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wayahukumu mataifa; unihukumu kadiri ya uadilifu wangu, kulingana na huo unyofu wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wayahukumu mataifa; unihukumu kadiri ya uadilifu wangu, kulingana na huo unyofu wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Mwenyezi Mungu na awahukumu makabila ya watu. Nihukumu Ee Mwenyezi Mungu, kwa kadiri ya haki yangu, kwa kadiri ya uadilifu wangu, Ewe Uliye Juu Sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 bwana na awahukumu kabila za watu. Nihukumu Ee bwana, kwa kadiri ya haki yangu, kwa kadiri ya uadilifu wangu, Ewe Uliye Juu Sana. Tazama sura |