Zaburi 7:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Ikiwa nimemlipa mabaya Yeye aliyekaa kwangu salama; (Hasha! Nimemponya yeye Aliyekuwa mtesi wangu bila sababu;) Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 kama nimemlipa rafiki yangu mabaya badala ya mema, au nimemshambulia adui yangu bila sababu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 kama nimemlipa rafiki yangu mabaya badala ya mema, au nimemshambulia adui yangu bila sababu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 kama nimemlipa rafiki yangu mabaya badala ya mema, au nimemshambulia adui yangu bila sababu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 au ikiwa nimemtenda uovu aliye na amani nami, au nimemnyang’anya adui yangu pasipo sababu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 au ikiwa nimemtenda uovu aliye na amani nami, au nimemnyang’anya adui yangu pasipo sababu, Tazama sura |