Zaburi 7:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Asije akaipapura nafsi yangu kama simba, Akaniburura hadi pasipokuwa na wa kuniponya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 La sivyo, watakuja kunirarua kama simba, wakanivutia mbali, pasiwe na wa kuniokoa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 La sivyo, watakuja kunirarua kama simba, wakanivutia mbali, pasiwe na wa kuniokoa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 La sivyo, watakuja kunirarua kama simba, wakanivutia mbali, pasiwe na wa kuniokoa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 la sivyo watanirarua kama simba na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 la sivyo watanirarua kama simba na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa. Tazama sura |