Zaburi 7:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Nitamshukuru BWANA kwa kadiri ya haki yake; Nitaliimbia jina la BWANA aliye juu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Nitamshukuru Mwenyezi-Mungu kwani ni mwema; nitaimba sifa za jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Nitamshukuru Mwenyezi-Mungu kwani ni mwema; nitaimba sifa za jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Nitamshukuru Mwenyezi-Mungu kwani ni mwema; nitaimba sifa za jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Nitamshukuru Mwenyezi Mungu kwa ajili ya haki yake, na nitaliimbia sifa jina la Mwenyezi Mungu Aliye Juu Sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Nitamshukuru bwana kwa ajili ya haki yake, na nitaliimbia sifa jina la bwana Aliye Juu Sana. Tazama sura |
ya kuwa utafukuzwa mbali na wanadamu, na makao yako yatakuwa pamoja na wanyama wa mwituni, nawe utalazimishwa kula majani kama ng'ombe, nawe utanyeshewa na umande wa mbinguni, na nyakati saba zitapita juu yako; hata utakapojua ya kuwa Aliye Juu ndiye anayemiliki katika ufalme wa wanadamu, naye humpa yeye amtakaye, awaye yote.