Zaburi 69:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Wazawa wa watumishi wake watairithi, Nao walipendao jina lake watakaa humo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 wazawa wa watumishi wake watairithi, wale wanaopenda jina lake wataishi humo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 wazawa wa watumishi wake watairithi, wale wanaopenda jina lake wataishi humo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 wazawa wa watumishi wake watairithi, wale wanaopenda jina lake wataishi humo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 watoto wa watumishi wake watairithi na wale wote wanaolipenda jina lake wataishi humo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 watoto wa watumishi wake watairithi na wale wote walipendao jina lake wataishi humo. Tazama sura |