Zaburi 69:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Maana Mungu ataiokoa Sayuni, na kuijenga miji ya Yuda, Na watu watakaa ndani yake na kuimiliki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Maana Mungu atauokoa mji Siyoni, na kuijenga tena miji ya Yuda. Watu wake wataishi humo na kuimiliki; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Maana Mungu atauokoa mji Siyoni, na kuijenga tena miji ya Yuda. Watu wake wataishi humo na kuimiliki; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Maana Mungu atauokoa mji Siyoni, na kuijenga tena miji ya Yuda. Watu wake wataishi humo na kuimiliki; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 kwa maana Mungu ataiokoa Sayuni na kuijenga tena miji ya Yuda. Kisha watu watafanya makao yao humo na kuimiliki, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 kwa maana Mungu ataiokoa Sayuni na kuijenga tena miji ya Yuda. Kisha watu watafanya makao yao humo na kuimiliki, Tazama sura |