Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 69:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Nayo yatampendeza BWANA kuliko ng'ombe, Au ndama mwenye pembe na kwato.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Jambo hili litampendeza Mwenyezi-Mungu zaidi, kuliko kumtolea tambiko ya ng'ombe, kuliko kumtolea fahali mzimamzima.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Jambo hili litampendeza Mwenyezi-Mungu zaidi, kuliko kumtolea tambiko ya ng'ombe, kuliko kumtolea fahali mzimamzima.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Jambo hili litampendeza Mwenyezi-Mungu zaidi, kuliko kumtolea tambiko ya ng'ombe, kuliko kumtolea fahali mzimamzima.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Hili litampendeza Mwenyezi Mungu kuliko ng’ombe dume, zaidi ya fahali akiwa na pembe na kwato zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Hili litampendeza bwana kuliko ng’ombe dume, zaidi ya fahali akiwa na pembe na kwato zake.

Tazama sura Nakili




Zaburi 69:31
6 Marejeleo ya Msalaba  

Atoaye dhabihu za kushukuru, Ndiye anayenitukuza. Naye autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonesha wokovu wa Mungu.


Chukueni maneno pamoja nanyi, mkamrudie BWANA; mkamwambie, Ondoa maovu yote, uyatakabali yaliyo mema; na hivyo ndivyo mtakavyotoa sadaka za midomo yetu kana kwamba ni ng'ombe.


Basi, kwa njia yake yeye, na tumpe Mungu dhabihu ya sifa daima, yaani, tunda la midomo iliungamalo jina lake.


Ninyi nanyi, kama mawe yaliyo hai, mmejengwa muwe nyumba ya Roho, ukuhani mtakatifu, mtoe dhabihu za roho, zinazokubaliwa na Mungu, kwa njia ya Yesu Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo