Zaburi 69:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo, Nami nitamtukuza kwa shukrani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Kwa wimbo nitalisifu jina la Mungu, nitamtukuza kwa shukrani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Kwa wimbo nitalisifu jina la Mungu, nitamtukuza kwa shukrani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Kwa wimbo nitalisifu jina la Mungu, nitamtukuza kwa shukrani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo, nami nitamtukuza kwa kumtolea shukrani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo, nami nitamtukuza kwa kumtolea shukrani. Tazama sura |