Zaburi 69:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Makambi yao na yawe ukiwa, Pasiwe na mtu wa kukaa hemani mwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Kambi zao ziachwe mahame, asiishi yeyote katika mahema yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Kambi zao ziachwe mahame, asiishi yeyote katika mahema yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Kambi zao ziachwe mahame, asiishi yeyote katika mahema yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Mahali pao na pawe ukiwa, wala asiwepo yeyote atakayeishi katika mahema yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Mahali pao na pawe ukiwa, wala asiwepo yeyote atakayeishi katika mahema yao. Tazama sura |