Zaburi 69:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Meza yao mbele yao na iwe mtego; Naam, sikukuu zao sadaka ziwanase. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Karamu zao na ziwe mtego kwao, na sikukuu zao za sadaka ziwanase. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Karamu zao na ziwe mtego kwao, na sikukuu zao za sadaka ziwanase. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Karamu zao na ziwe mtego kwao, na sikukuu zao za sadaka ziwanase. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego, nayo iwe upatilizo na tanzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego, nayo iwe upatilizo na tanzi. Tazama sura |