Zaburi 69:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Wakanipa uchungu kuwa chakula changu; Na nilipokuwa na kiu wakaninywesha siki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Walinipa sumu kuwa chakula, na nilipokuwa na kiu wakanipa siki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Walinipa sumu kuwa chakula, na nilipokuwa na kiu wakanipa siki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Walinipa sumu kuwa chakula, na nilipokuwa na kiu wakanipa siki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Waliweka nyongo katika chakula changu na walinipa siki nilipokuwa na kiu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Waliweka nyongo katika chakula changu na walinipa siki nilipokuwa na kiu. Tazama sura |