Zaburi 69:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Wewe umejua kulaumiwa kwangu, Na kuaibika na kufedheheka kwangu, Mbele zako Wewe wako watesi wangu wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Wewe wajua ninavyotukanwa, wajua aibu na kashfa ninazopata; na maadui zangu wote wewe wawajua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Wewe wajua ninavyotukanwa, wajua aibu na kashfa ninazopata; na maadui zangu wote wewe wawajua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Wewe wajua ninavyotukanwa, wajua aibu na kashfa ninazopata; na maadui zangu wote wewe wawajua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Unajua jinsi ninavyodharauliwa, kufedheheshwa na kuaibishwa, adui zangu wote unawajua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Unajua jinsi ninavyodharauliwa, kufedheheshwa na kuaibishwa, adui zangu wote unawajua. Tazama sura |