Zaburi 69:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Wala usinifiche uso wako, mimi mtumishi wako, Maana mimi nimo taabuni, unijibu upesi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Usimfiche mtumishi wako uso wako; unijibu haraka, maana niko hatarini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Usimfiche mtumishi wako uso wako; unijibu haraka, maana niko hatarini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Usimfiche mtumishi wako uso wako; unijibu haraka, maana niko hatarini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Usimfiche mtumishi wako uso wako, uharakishe kunijibu, kwa sababu niko katika shida. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Usimfiche mtumishi wako uso wako, uharakishe kunijibu, kwa sababu niko katika shida. Tazama sura |