Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 69:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Ee BWANA, unijibu, maana fadhili zako ni njema, Kwa kadiri ya rehema zako unielekee.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Unijibu, ee Mwenyezi-Mungu, kwa wema na fadhili zako; unielekee kwa wingi wa huruma yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Unijibu, ee Mwenyezi-Mungu, kwa wema na fadhili zako; unielekee kwa wingi wa huruma yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Unijibu, ee Mwenyezi-Mungu, kwa wema na fadhili zako; unielekee kwa wingi wa huruma yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Ee Mwenyezi Mungu, unijibu, kwa wema wa upendo wako; kwa huruma zako nyingi unigeukie.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Ee bwana, unijibu, kwa wema wa upendo wako; kwa huruma zako nyingi unigeukie.

Tazama sura Nakili




Zaburi 69:16
12 Marejeleo ya Msalaba  

Akawakumbukia agano lake; Akawahurumia kwa wingi wa fadhili zake;


Na Wewe, MUNGU, Bwana, unitendee kwa ajili ya jina lako, Kwa kuwa fadhili zako ni njema uniokoe.


Kamba za kuzimu zilinizunguka, Mitego ya mauti ikanikabili.


Uniangalie na kunifadhili, Maana mimi ni mkiwa na mteswa.


Ila mimi nitakwenda kwa ukamilifu wangu; Unikomboe, unifanyie fadhili.


Ee Mungu, jinsi zilivyo na thamani fadhili zako! Wanadamu huukimbilia uvuli wa mbawa zako.


Ee Mungu, unirehemu, kulingana na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu.


Maana fadhili zako ni njema kuliko uhai; Midomo yangu itakusifu.


Nami maombi yangu nakuomba Wewe, BWANA, Wakati ukupendezao; Ee Mungu, Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, Katika kweli ya wokovu wako.


Nitautaja wema wa BWANA, sifa za BWANA kwa yote aliyotukirimia BWANA; na wingi wa wema wake kwa nyumba ya Israeli, aliowakirimia kwa rehema zake, na kwa wingi wa wema wake.


Atarejea na kutuhurumia; atayakanyaga maovu yetu; nawe utazitupa dhambi zao zote katika vilindi vya bahari.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo