Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Zaburi 69:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Mkondo usinigharikishe, wala vilindi visinimeze, Wala Shimo lisifumbe kinywa chake juu yangu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Usiniache nikumbwe na mkondo wa maji, au nizame kwenye kilindi au nimezwe na kifo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Usiniache nikumbwe na mkondo wa maji, au nizame kwenye kilindi au nimezwe na kifo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Usiniache nikumbwe na mkondo wa maji, au nizame kwenye kilindi au nimezwe na kifo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Usiache mafuriko yanigharikishe au vilindi vinimeze, au shimo lifumbe kinywa chake juu yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Usiache mafuriko yanigharikishe au vilindi vinimeze, au shimo lifumbe kinywa chake juu yangu.

Tazama sura Nakili

Zaburi 69:15
11 Marejeleo ya Msalaba  

Maji yakaongezeka zaidi juu ya nchi; na safina ikaelea juu ya uso wa maji.

Maana hutaitupa kuzimu nafsi yangu, Wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu.

Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi.

ambaye Mungu alimfufua, akiufungua uchungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana ashikwe nao.

yeye mwenyewe akitangulia kuyaona haya, alitaja habari za kufufuka kwake Kristo, ya kwamba roho yake haikuachwa kuzimu, wala mwili wake haukuona uharibifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo