Zaburi 69:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Uniponye kwa kunitoa matopeni, Wala usiniache nikazama. Na niponywe kutoka kwa wanaonichukia, Na kutoka katika vilindi vya maji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kwa msaada wako amini uniokoe nisizame katika matope; uniokoe na hao wanaonichukia, unisalimishe kutoka vilindi vya maji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kwa msaada wako amini uniokoe nisizame katika matope; uniokoe na hao wanaonichukia, unisalimishe kutoka vilindi vya maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kwa msaada wako amini uniokoe nisizame katika matope; uniokoe na hao wanaonichukia, unisalimishe kutoka vilindi vya maji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Uniokoe katika matope, usiniache nizame; niokoe na hao wanaonichukia, kutoka kwa vilindi vya maji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Uniokoe katika matope, usiniache nizame; niokoe na hao wanichukiao, kutoka kwenye vilindi vya maji. Tazama sura |