Zaburi 69:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Waketio langoni hunisema, Na nyimbo za walevi hunidhihaki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Watu wananisengenya mabarabarani; walevi wanatunga nyimbo juu yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Watu wananisengenya mabarabarani; walevi wanatunga nyimbo juu yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Watu wananisengenya mabarabarani; walevi wanatunga nyimbo juu yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Wale wanaoketi mlangoni wananisimanga, nimekuwa wimbo wa walevi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wale wanaoketi mlangoni wananisimanga, nimekuwa wimbo wa walevi. Tazama sura |
Bali umejiinua juu ya Bwana wa mbingu; nao wamevileta vyombo vya nyumba yake mbele yako; na wewe, na wakuu wako, na wake zako, na masuria wako, mmevinywea; nawe umeisifu miungu ya fedha na ya dhahabu na ya shaba, na ya chuma, na ya mti, na ya mawe; wasioona, wala kusikia, wala kujua neno lolote; na Mungu yule, ambaye pumzi yako i mkononi mwake, na njia zako zote ni zake, hukumtukuza.