Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 68:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Kwa nini kulala mazizini arukapo hua, Mbawa zake ziking'aa kama fedha Na manyoya yake kama dhahabu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 ingawa walibaki mazizini: Sanamu za njiwa wa madini ya fedha, na mabawa yao yanangaa kwa dhahabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 ingawa walibaki mazizini: Sanamu za njiwa wa madini ya fedha, na mabawa yao yanangaa kwa dhahabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 ingawa walibaki mazizini: sanamu za njiwa wa madini ya fedha, na mabawa yao yanang'aa kwa dhahabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Hata unapolala kati ya mioto ya kambini, mabawa ya njiwa wangu yamefunikwa kwa fedha, manyoya yake kwa dhahabu inayong’aa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Hata ulalapo katikati ya mioto ya kambini, mabawa ya njiwa wangu yamefunikwa kwa fedha, manyoya yake kwa dhahabu ing’aayo.”

Tazama sura Nakili




Zaburi 68:13
22 Marejeleo ya Msalaba  

Isakari ni punda hodari, Ajilazaye kati ya mazizi ya kondoo;


Basi watu wakatoka, wakaziteka nyara hema za Washami. Ikawa kipimo cha unga mzuri kikauzwa kwa shekeli, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli, sawasawa na neno la BWANA.


Akawatoa wakiwa na fedha na dhahabu, Katika makabila yao asiwepo mwenye kujikwaa.


Kwa kuwa BWANA awaridhia watu wake, Huwapamba wenye upole kwa wokovu.


Usimpe mnyama mkali uhai wa njiwa wako; Usiwasahau milele watu wako walioonewa.


Nimeutua mzigo begani mwake; Mikono yake nikaiondolea kazi nzito.


wakafanya maisha yao kuwa machungu kwa kazi ngumu; kazi ya chokaa na ya matofali, na kila namna ya kazi ya mashamba; kwa kazi zao zote walizowatumikisha kwa ukali.


Kamba zako zimelegea; hawakuweza kukaza sana shina la mlingoti wao; hawakuweza kulikunjua tanga; ndipo mapato ya mateka yaligawanywa, hata wachechemeao walipata mateka.


ukagawanye nyara katika mafungu mawili; kati ya wanajeshi waliotoka nje kupigana vita na hio jumuiya nzima;


Akawa akitamani kujishibisha kwa maganda waliyokula nguruwe, wala hapana mtu aliyempa kitu.


Lakini baba aliwaambia watumwa wake, Lileteni upesi vazi lililo bora, mkamvike; mtieni na pete kidoleni, na viatu miguuni;


Mwajua ya kuwa mlipokuwa watu wa Mataifa, mlichukuliwa kufuata sanamu zisizonena, kama mlivyoongozwa.


Maana hapo zamani sisi nasi tulikuwa hatuna akili, tulikuwa waasi, tumedanganywa, huku tukitumikia tamaa na anasa za namna nyingi, tukiishi katika uovu na husuda, tukichukiza na kuchukiana.


Na hawa wafalme watano wakakimbia, wakajificha ndani ya pango la Makeda.


Mbona ulikaa katika mazizi ya kondoo, Kusikiliza filimbi zipigwazo ili kuita makundi? Kwenye vijito vya Reubeni Palikuwa na makusudi makuu mioyoni.


Wafalme walikuja wakafanya vita, Ndipo wafalme wa Kanaani walifanya vita. Katika Taanaki, karibu na maji ya Megido; Hawakupata faida yoyote ya fedha.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo