Zaburi 67:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Mungu na atufadhili na kutubariki, Na kutuangazia uso wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Utuonee huruma, ee Mungu, utubariki; utuelekezee uso wako kwa wema; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Utuonee huruma, ee Mungu, utubariki; utuelekezee uso wako kwa wema; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Utuonee huruma, ee Mungu, utubariki; utuelekezee uso wako kwa wema; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mungu aturehemu na kutubariki, na kutuangazia nuru za uso wake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mungu aturehemu na kutubariki, na kutuangazia nuru za uso wake, Tazama sura |