Zaburi 66:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Atawalaye kwa uweza wake milele; Ambaye macho yake yanaangalia mataifa; Hebu wanaoasi wasijitukuze nafsi zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Anatawala milele kwa nguvu yake kuu; macho yake huchungulia mataifa yote. Mwasi yeyote asithubutu kumpinga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Anatawala milele kwa nguvu yake kuu; macho yake huchungulia mataifa yote. Mwasi yeyote asithubutu kumpinga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Anatawala milele kwa nguvu yake kuu; macho yake huchungulia mataifa yote. Mwasi yeyote asithubutu kumpinga. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Yeye hutawala kwa uwezo wake milele, macho yake huangalia mataifa yote: waasi wasithubutu kujiinua dhidi yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Yeye hutawala kwa uwezo wake milele, macho yake huangalia mataifa yote: waasi wasithubutu kujiinua dhidi yake. Tazama sura |