Zaburi 66:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Nchi yote itakusujudia na kukuimbia, Naam, italiimbia jina lako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Dunia yote inakuabudu; watu wote wanakuimbia sifa!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Dunia yote inakuabudu; watu wote wanakuimbia sifa!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Dunia yote inakuabudu; watu wote wanakuimbia sifa!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Dunia yote yakusujudia, wanakuimbia wewe sifa, wanaliimbia sifa jina lako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Dunia yote yakusujudia, wanakuimbia wewe sifa, wanaliimbia sifa jina lako.” Tazama sura |