Zaburi 66:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Na ahimidiwe Mungu asiyeyakataa maombi yangu, Wala kuniondolea fadhili zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Asifiwe Mungu, maana hakuikataa sala yangu, wala kuondoa fadhili zake kwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Asifiwe Mungu, maana hakuikataa sala yangu, wala kuondoa fadhili zake kwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Asifiwe Mungu, maana hakuikataa sala yangu, wala kuondoa fadhili zake kwangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Ahimidiwe Mungu, ambaye hakulikataa ombi langu, wala kunizuilia upendo wake! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Sifa apewe Mungu, ambaye hakulikataa ombi langu wala kunizuilia upendo wake! Tazama sura |