Zaburi 66:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Nilimwita kwa kinywa changu, Na sifa kuu zilikuwa chini ya ulimi wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Mimi nilimlilia msaada kwa sauti, sifa zake nikazitamka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Mimi nilimlilia msaada kwa sauti, sifa zake nikazitamka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Mimi nilimlilia msaada kwa sauti, sifa zake nikazitamka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Nilimlilia kwa kinywa changu, sifa zake zilikuwa katika ulimi wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Nilimlilia kwa kinywa changu, sifa zake zilikuwa katika ulimi wangu. Tazama sura |