Zaburi 64:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Ni nani atambuaye maovu yetu? Tumepanga njama kwa werevu mwingi, Maana katika moyo wa mtu na fikira mengi yamefichika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Hufanya njama zao na kusema: “Sasa tumekamilisha mpango! Nani atagundua hila zetu?” Mipango ya siri imefichika moyoni mwa mtu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Hufanya njama zao na kusema: “Sasa tumekamilisha mpango! Nani atagundua hila zetu?” Mipango ya siri imefichika moyoni mwa mtu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Hufanya njama zao na kusema: “Sasa tumekamilisha mpango! Nani atagundua hila zetu?” Mipango ya siri imefichika moyoni mwa mtu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Hupanga njama la dhuluma na kusema, “Tumebuni mpango mkamilifu!” Hakika nia na moyo wa mwanadamu vina hila. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Hufanya shauri baya la dhuluma na kusema, “Tumebuni mpango mkamilifu!” Hakika nia na moyo wa mwanadamu vina hila. Tazama sura |