Zaburi 64:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Unifiche mbali na njama za watenda mabaya, Mbali na mipango ya watu wafanyao maovu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Unikinge na njama za waovu, na ghasia za watu wabaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Unikinge na njama za waovu, na ghasia za watu wabaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Unikinge na njama za waovu, na ghasia za watu wabaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Unifiche kutokana na njama za waovu, kutokana na fitina za kundi la watenda maovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Unifiche kutokana na shauri la siri la waovu, kutokana na zile kelele za kundi la watenda mabaya. Tazama sura |