Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Zaburi 64:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Mungu, uisikie sauti yangu katika malalamiko yangu; Unilinde uhai wangu kutoka kwa hofu ya adui.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Usikie, ee Mungu, lalamiko langu; yalinde maisha yangu na vitisho vya maadui.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Usikie, ee Mungu, lalamiko langu; yalinde maisha yangu na vitisho vya maadui.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Usikie, ee Mungu, lalamiko langu; yalinde maisha yangu na vitisho vya maadui.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Ee Mungu, unisikie ninapoeleza lalamiko langu, uyahifadhi maisha yangu kutokana na vitisho vya adui.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Ee Mungu, unisikie ninapoeleza lalamiko langu, uyahifadhi maisha yangu kutokana na vitisho vya adui.

Tazama sura Nakili

Zaburi 64:1
13 Marejeleo ya Msalaba  

Ee BWANA, uniokoe kutoka kwa watu waovu. Unihifadhi kutoka kwa watu wajeuri.

Ee BWANA, nimekuita, unijie hima, Uisikie sauti yangu nikuitapo.

Ee BWANA, usikie, kwa sauti yangu ninalia, Unifadhili, unijibu.

Nilimtafuta BWANA, naye akanijibu, Akaniokoa kutoka kwa hofu zangu zote.

akaniambia, Usiogope, Paulo, huna budi kusimama mbele ya Kaisari; tena, tazama, Mungu amekupa watu wote wanaosafiri pamoja nawe.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo