Zaburi 63:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Ndivyo nitakavyokubariki maadamu ni hai; Kwa jina lako nitaiinua mikono yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Nitakushukuru maisha yangu yote; nitainua mikono yangu na kukuomba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Nitakushukuru maisha yangu yote; nitainua mikono yangu na kukuomba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Nitakushukuru maisha yangu yote; nitainua mikono yangu na kukuomba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Nitakusifu siku zote za maisha yangu, na kwa jina lako nitainua mikono yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Nitakusifu siku zote za maisha yangu, na kwa jina lako nitainua mikono yangu. Tazama sura |