Zaburi 63:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Watatolewa wafe kwa nguvu za upanga, Watakuwa riziki za mbwamwitu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Watauawa kwa upanga, watakuwa chakula cha mbweha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Watauawa kwa upanga, watakuwa chakula cha mbweha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Watauawa kwa upanga, watakuwa chakula cha mbweha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Watatolewa wafe kwa upanga, nao watakuwa chakula cha mbweha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Watatolewa wafe kwa upanga, nao watakuwa chakula cha mbweha. Tazama sura |