Zaburi 61:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Utaziongeza siku za mfalme, Miaka yake itakuwa kama vizazi vingi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Umjalie mfalme maisha marefu, miaka yake iwe ya vizazi vingi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Umjalie mfalme maisha marefu, miaka yake iwe ya vizazi vingi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Umjalie mfalme maisha marefu, miaka yake iwe ya vizazi vingi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Mwongezee mfalme siku za maisha yake, miaka yake kwa vizazi vingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Mwongezee mfalme siku za maisha yake, miaka yake kwa vizazi vingi. Tazama sura |