Zaburi 61:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Maana Wewe, Mungu, umezisikia nadhiri zangu. Umewapa urithi wao waliogopao jina lako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Ee Mungu, umezisikia ahadi zangu, umenijalia sehemu yangu unayowapa wale wakuchao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Ee Mungu, umezisikia ahadi zangu, umenijalia sehemu yangu unayowapa wale wakuchao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Ee Mungu, umezisikia ahadi zangu, umenijalia sehemu yangu unayowapa wale wakuchao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Ee Mungu, kwa kuwa umesikia nadhiri zangu, umenipa urithi wa wale wanaoliogopa jina lako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Ee Mungu, kwa kuwa umesikia nadhiri zangu, umenipa urithi wa wale wanaoliogopa jina lako. Tazama sura |